KWA TAARIFA YAKO…SIMBA WANAWEZA KUWEKA REKODI HII BAB KUBWA AFRIKA LEO WASIPOFUNGWA…
Ushindi au sare dhidi ya RS Berkane huko Morocco leo utaifanya Simba kuweka rekodi ya kuwa timu ya kwanza ya Tanzania kutopoteza…
Browse all posts in this category.
Ushindi au sare dhidi ya RS Berkane huko Morocco leo utaifanya Simba kuweka rekodi ya kuwa timu ya kwanza ya Tanzania kutopoteza…
Wakati wawakilishi pekee wa Tanzania kwenye Mashindano ya Afrika Simba wakibakiza saa chache kushuka Uwanjani kupambana na wenyeji wao RS Berkane wekundu…
TUNAANZIA tulipoishia. Ndivyo wanavyosema mashabiki wa Yanga wakati chama lao leo usiku likitarajiwa kushuka tena uwanjani kuvaana na Kagera Sugar katika mfululizo…
KIUNGO mshambuliaji wa Simba Mzambia, Clatous Chama ameweka wazi kuwa alitamani sana kuwa sehemu ya timu yake ambayo itavaana na RS…
FISTON Mayele, mzee wa kutetema, dozi yake anayotoa kwa kuwatungua wapinzani wake ni mwendo wa mojamoja kwa kuwa hakuna timu ambayo ameifunga…
LEO Uwanja wa Mkapa uliopo Temeke, Dar es Salaam, itakuwa ni vita ya kisasi kwa Yanga inayonolewa na Nasreddine Nabi dhidi ya…
KIKOSI cha Yanga kimesharejea jijini Dar es Salaam kutoka Morogoro baada ya kumaliza mechi za duru la kwanza ya Ligi Kuu Bara…
WAKATI mashabiki wa Yanga wakiwa wamegawanyika juu ya taarifa za awali za mabosi wao kuanza kumzengea winga wa Simba, Bernard Morrison, Mfadhili…
HATUA ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika msimu huu itaendelea leo Jumapili ikiwa inaingia raundi ya tatu ambayo itafunga dimba la…
Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la Mwanaspoti leo Jumapili
Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la Spoti Xtra leo Jumapili
FEISAL Salum, kiungo mwenye uwezo wa kutumia miguu yote miwili kufunga pamoja na mikono amekutana na jambo litakalomfanya kesho aukose mchezo wa…