UNAAMBIWA HUKO JANGWANI NI MWENDO WA SUPU TU ……. HERSI ATOA CHAPATI 5000
Mashabiki na wanachama wa Klabu ya Yanga wamejitokeza kwa wingi kunywa supu leo Jumapili Novemba 12 2023 katika ofisi za makao makuu ya klabu hiyo…