FT:Yanga 0-1 MC Alger…Vijana wa Fadlu Washindwa Mtihani wa Kwanza CAF CCL
DAKIKA moja imewaharibia jioni Wananchi. Yanga walikuwa wameufikisha mchezo kwenye hatua ambayo sare ilionekana karibu, lakini Soufiane Bayazid akaibuka dakika ya 90 na kuipa MC…