JKU Yamkabidhi Mkataba Kocha AbdulSaleh Abdallah, Yamwekea Malengo Mzito Msimu Mpya
Uongozi wa klabu ya JKU umeingia kwenye ukurasa mpya kuelekea msimu wa 2026-2027 baada ya kumkabidhi rasmi mikoba ya ukocha, AbdulSaleh Abdallah, huku wakimwekea matarajio…