Yanga Princess Yapata Mrithi wa Edna Lema: Mjerumani Martin Hammel Kuchukua Mikoba?
Uongozi wa Yanga Princess umeanza rasmi mchakato wa kumsaka kocha mkuu mpya atakayechukua nafasi iliyoachwa wazi na Kocha Edna Lema. Edna alijiondoa kikosini hapo kufuatia…