Latest Posts

NAMBA 6 WA YANGA, BEKI AFUNGUKA BALAA LAKE

Mara baada Yanga kumtambulisha nyota wa Marumo Gallants, Mahlatse Makudubela, beki aliyekuwa akicheza naye, Mpho Mvelase ameeleza jinsi Yanga watakuwa wamelamba dume kutokana na ubora…

Tetesi za Usajili Simba SC

BEKI MPYA WA SIMBA AFUNGUKA MAZITO

SIMBA imekwea jana kwenda Uturuki kuweka kambi ya mazoezi ya siku kadhaa. Watakuwa kwenye ardhi ya nchi moja na Hull City ya England. Lakini yenyewe…