De Zerbi Awafungukia Wachezaji Tottenham Baada ya Kipigo cha Aston Villa: “Nimechanganyikiwa!”
LONDON, ENGLAND – Kocha mkuu wa Tottenham Hotspur, Roberto De Zerbi, ameshindwa kuzuia hisia zake na kuwashukia vikali wachezaji wake kufuatia mfululizo wa matokeo mabaya…