Manqoba Aingiza Yanga Kambini Leo, Siku Tano Tu Kuimaliza Simba
Yanga inaingia kambini Avic Town leo kwa maandalizi ya mwisho ya Dabi, huku Manqoba Mngqithi akibaki na takribani siku tano kuunganisha kikosi kamili.
Yanga inaingia kambini Avic Town leo kwa maandalizi ya mwisho ya Dabi, huku Manqoba Mngqithi akibaki na takribani siku tano kuunganisha kikosi kamili.
Mossi Ndumumwe amewataja Fei Toto, Mudathir Yahya, Seleman Mwalimu na Ahmed Pipino kuwa ni wachezaji wenye uwezo wa kwenda nje na kufanya makubwa.
Sakata la jezi namba 6 Yanga limeibuka tena baada ya kubainika Fred Duval Ngoma aliikataa na kuomba namba 8, baada ya dili la Fei Toto…
Yanga inaendelea kukaza maandalizi ya Kariakoo Derby kwa friendly dhidi ya JKT Tanzania huku mastaa waliobaki kambini wakipita fitness test ya Manqoba.
TFF imefafanua sakata la wachezaji wa Yanga kuruhusiwa kuondoka Taifa Stars Morocco na kukanusha madai kwamba Miguel Gamondi amechukizwa.
Yanga imeanza maandalizi ya Dabi ya Kariakoo ikiwa bado haina karibu wachezaji 15 waliopo kwenye timu za taifa, huku Manqoba akianza kazi ya kuunganisha kikosi.
Klabu ya Yanga SC imeanza rasmi kurejea kwenye programu zake za maandalizi baada ya mapumziko mafupi, huku ikitoa taarifa njema na ya kutuliza mioyo ya…
DAR ES SALAAM — Kocha Mkuu wa Yanga SC, Manqoba Mngqithi, ameanza rasmi mchakato wa kuisoma na kuichambua Simba SC kuelekea mchezo wa Dabi ya…
Uongozi wa Klabu ya Yanga umeeleza kusikitishwa na kifo cha Mjumbe wa Baraza la Wadhamini wa klabu hiyo, Mama Fatma Karume, aliyefariki dunia jana, Septemba…
MSIMU wa 2026/27 unatarajiwa kuwa wa ushindani mkubwa na wa vuta-nikuvute kwa mashabiki wa soka nchini Tanzania, baada ya ratiba ya mapambano ya Kariakoo Derby…