KIPA MBRAZIL ATUA SIMBA, KAIZER YATUA ZANZIBAR DKT MWINYI AIPA BARAKA, HERSI AMKABIDHI JEZI
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
Nahodha wa AS Maniema Union ya DR Congo, Maxi Mpia amewasili nchini wa leo Julai 12, 2023 kukamilisha dili la kujiunga na mabingwa watetezi wa…
SHIRIKISHO la Soka Barani Afrika(CAF) limebadilisha jina la mashindano yake mapya, lakini Rais wake,Patrice Motsepe amesisitiza kwamba yatakuwa na neema kubwa ya mkwanja Simba ikiwa…
Kiungo Mshambuliaji kutoka nchini Burundi na Klabu ya Simba SC Saido Ntibazonkiza, amesema amerejea kivingine kwenye majukumu yake ndani ya klabu hiyo kuelekea msimu wa…
Baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili kuichezea Simba SC akitokea Coton Sports ya Cameroon, beki Che Malone Fondoh amefunguka akisema amekuja kwa ajili ya…
SIMBA jana iliendelea kuwapa raha mashabiki wake kwa kutambulisha chuma kingine kipya, huku kocha mkuu wa timu hiyo aliyerejea juzi mchana akisema kwa majembe yaliyosajiliwa…
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
Imeelezwa kuwa Kiungo Mkabaji kutoka nchini Ivory Coast Zougrana Mohamed anayehusishwa na Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans, tayari ametua nchini kumalizana na timu…
Kocha Mkuu mpya wa Azam FC, Youssouph Dabo ameweka wazi ratiba ya mazoezi kwa wachezaji wake ambapo sasa watakuwa wakifanya mara mbili kwa siku ili…
Wakati mashabiki wa Young Africans wakisubiri kwa hamu fujo za usajili mpya ndani ya kikosi chao, timu hiyo iliyopata mafanikio makubwa msimu uliopita inaendelea kumeguka…