KONKANI APEWA THANK YOU, HII HAPA MASHINE YA MAGOLI IMETUA YANGA
Mabosi wa Yanga wanakutana kufikiria watapitaje kwenye mechi sita za hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Lakini mastaa wawili wenye heshima Jangwani wamesema…
Mabosi wa Yanga wanakutana kufikiria watapitaje kwenye mechi sita za hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Lakini mastaa wawili wenye heshima Jangwani wamesema…
Kocha Mkuu wa Yanga, Muargentina, Miguel Gamondi, anafikiria kumuanzisha mshambuliaji wake, Mghana, Hafiz Konkoni katika kikosi cha kwanza. Uamuzi huo umekuja mara baada ya kulikosa…