MWAKINYO AFANYA HAYA KWENYE ADHABU YA MANARA TFF
Bondia wa ngumi za kulipwa Tanzania, @hassanmwakinyojr amemuombea msamaha Haji Manara kwa Kamati ya Nidhamu ya TFF kumsamehe adhabu yake. Manara amefungiwa miaka miwili kujihusisha…