DAWA YA KIBU KUCHEZA KIKOSI CHA KWANZA SIMBA HII HAPA
Nilikuwa nasoma mahala Himid Mao akimzungumzia mchezaji wa Simba, Kibu Denis. Kwamba walinzi wengi watachukia kumkaba mchezaji wa aina yake. Ni msumbufu. Ni kweli ana…
Nilikuwa nasoma mahala Himid Mao akimzungumzia mchezaji wa Simba, Kibu Denis. Kwamba walinzi wengi watachukia kumkaba mchezaji wa aina yake. Ni msumbufu. Ni kweli ana…
Hiki hapa Kikosi cha Simba Sports Club kitakachoanza leo katika mchezo wao wa kwanza wa ligi Kuu ya NBC msimu huu dhidi ya Mtibwa Sugar…
BAADA ya kikosi cha Simba SC kurejea wakitokea Uturuki, Kocha Mkuu wa Simba, Roberto Oliviera (Robertinho) ameweka wazi atakuwa na wakati mgumu kupanga kikosi cha…
Dar es Salaam. Simba imemtambulisha Che Fondoh Malone ikiwa ni hatua za mwisho kumalizia utambulisho wa wachezaji iliowasajili, huku ikiondoka leo kwenda Uturuki itakapoweka kambi…