Kikosi cha Yanga Kesho: Yanga Kushuka Dimbani Sheikh Amri Abeid Kulipa Kisasi dhidi ya TRA United
KIKOSI cha Yanga kesho kitashuka dimbani kuikabili TRA United katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara utakaopigwa kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, jijini Arusha.…