Yanga SC Yaongeza ‘Risasi’ Mbele: Mwalimu Aongeza Ushindani Msimu Wa 2026/27
Baada ya Yanga SC kumtambulisha rasmi mshambuliaji Selemani Mwalimu, ushindani wa namba katika safu ya ushambuliaji unatarajiwa kushika kasi mpya kuelekea msimu wa 2026/27. Usajili…