Ligi Kuu Tanzania Bara Leo: Vita ya Pointi Sheikh Amri Abeid & Mkwakwani!
Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea leo Jumamosi kwa mechi mbili za kukata na shoka katika viwanja vya Sheikh Amri Abeid jijini Arusha na Mkwakwani jijini…
Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea leo Jumamosi kwa mechi mbili za kukata na shoka katika viwanja vya Sheikh Amri Abeid jijini Arusha na Mkwakwani jijini…
Mwajanga, ameweka wazi kuwa licha ya kiwango bora anachoendelea kukionyesha kikosini humo, lengo lake kuu ni kuhakikisha anavuka rekodi yake ya mabao aliyoiweka msimu uliopita…
Teknolojia Mpya Yaingia Kwenye Historia Ligi Kuu Teknolojia mpya ya Video Support System (VS) imeanza kutoa majibu rasmi katika Ligi Kuu Tanzania msimu wa 2026/27.…
Pamba Jiji vs Dodoma Jiji (Saa 8:00 Mchana – CCM Kirumba) Kibarua cha kwanza kitakuwa jijini Mwanza, ambapo Pamba Jiji watakuwa wenyeji wa Dodoma Jiji…
MBEYA: Uongozi wa klabu ya Mbeya City upo kwenye hatua za mwisho za kunasa saini ya aliyekuwa kipa wa Mtibwa Sugar, Toba Kutisha, baada ya…
Mwamuzi wa kati Selugwani Shija ameleta gumzo kwenye Ligi ya Championship jana katika mchezo kati ya Biashara United ya Maea dhidi ya Mbeya City katika…
Baaada ya kuambulia kipigo cha mabao 1-2 nyumbani kutoka kwa Ruvu Shooting, mashabiki wa Mbeya City wamemjia juu kocha wao, Mubiru Abdallah. Mbeya City wamekuwa…