Tag: michzo bongo
YULE MIQUISSONE MNAE MTAKA ANAKUJA…. KOCHA AWEKA WAZI KILA KITU
Kocha Mkuu wa Klabu ya Simba, Roberto Oliveira Gonçalves do Carmo 'Robertinho', amesema kuwa bado anampika kiungo mshambuliaji wake, Luis Miquissone na anaamini atarejea...