Bakari Mwamnyeto Kubaki Yanga: Afikia Makubaliano Ya Mkataba Mpya Wa Miaka Miwili
Nahodha na beki tegemeo wa Yanga SC, Bakari Mwamnyeto, amefikia makubaliano ya maslahi binafsi na uongozi wa klabu hiyo kwa ajili ya kusaini mkataba mpya…