MKUNDA AIKOSOA YANGA…. ADAI KUWA JAMBO HILI NI USHAMBA
Mchambuzi wa masuala ya soka nchini, Ahmad Mkunda amesema kuwa kitendo cha Klabu ya Yanga kuweka bango barabarani kuwazodoa wapinzani wao Simba Sc ni ushamba…