Waziri Junior Afunguka Kutua Mombasa United, Awaahidi Makubwa Wakenya
Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Waziri Junior, aliyetua hivi karibuni katika klabu ya Mombasa United inayoshiriki ligi nchini Kenya, amewataka mashabiki kumpa muda ili kuonyesha…