Elizabeth Wambui Kurejea Uwanjani: Mgosi Afichua Tarehe Rasmi na Mipango ya Simba Queens
KOCHA Mkuu wa Simba Queens, Mussa Hassan ‘Mgosi’, ametoa taarifa ya kutuliza nyoyo za mashabiki baada ya kufichua kuwa winga wao machachari, Elizabeth Wambui, anaendelea…