Dabi ya Kariakoo: Mngqithi Anza Kuisoma Simba Akisuka Mipango Yanga
DAR ES SALAAM — Kocha Mkuu wa Yanga SC, Manqoba Mngqithi, ameanza rasmi mchakato wa kuisoma na kuichambua Simba SC kuelekea mchezo wa Dabi ya…
DAR ES SALAAM — Kocha Mkuu wa Yanga SC, Manqoba Mngqithi, ameanza rasmi mchakato wa kuisoma na kuichambua Simba SC kuelekea mchezo wa Dabi ya…
Neo Maema anaingia Dabi akiwa na uzoefu wa mechi kadhaa dhidi ya Yanga, huku Keletso Makgalwa akisubiri Dabi yake ya kwanza ya Ligi Kuu.
Bashiri Kibaila ameeleza namna Clatous Chama, Libasse Gueye na Anicet Oura wanavyomsaidia kukua Simba, huku akitoka kung'ara Ngorongoro Heroes.
Nathaniel Chilambo amebadilisha kabisa nafasi yake tangu aondoke Azam FC, akishika nafasi Simba na kurudi kwenye hesabu za Taifa Stars.
Yanga imekusanya dakika 719 kupitia wachezaji wake waliokuwa timu za taifa dhidi ya 105 za Simba, namba zinazoongeza mjadala kuelekea Dabi ya Kariakoo.
MSHAMBULIAJI mpya wa Simba SC, Ismail Mgunda, ameweka wazi malengo yake makubwa msimu huu, akithibitisha kuwa amejipangia kufunga si chini ya mabao 10 katika Ligi…
Uongozi wa Simba SC umeanza mchakato wa haraka wa kumwongezea mkataba mpya kiungo mshambuliaji wake raia wa Senegal, Libasse Gueye, ili kuziba mianya yote inayoweza…
Simba inaendelea na kambi Polokwane huku nyota 10 wakiwa kwenye majukumu ya timu za taifa. Hii ndiyo changamoto kubwa ya Steve Barker kabla ya Dabi…
MSHAMBULIAJI nyota wa Geita Gold, Yusuph Mhilu, amerejea uwanjani rasmi baada ya kupona kabisa majeraha ya nyama za paja yaliyomweka nje kwa muda. Mhilu alipata…
Kocha Mkuu wa Coastal Union, Fikiri Elias, ameweka wazi kuwa mapumziko ya Ligi Kuu Tanzania Bara yamewapa fursa nzuri ya kurejea mazoezini, kurekebisha mifumo ya…