WAKATI SIMBA , YANGA WAKIENDELEA KUTANGAZA WACHEZAJI WAKE WAPYA…. WASENEGAL WA AZAM WATAMBA TUNISIA
WACHEZAJI wapya wa Azam FC kutoka Senegal, beki Cheikh Sidibe na mshambuliaji Alasane Diao wameanza vizuri baada ya kufunga mabao katika mchezo wa kirafiki dhidi…