MAMBO NI MOTO PRISONS SIO POA………UNAAMBIWA KUIFUNGA SIMBA, YANGA MILIONI 10 MEZANI
Sasa washindwe wao. Ndivyo unaweza kusema kufuatia udhamini walioupata Tanzania Prisons kutoka kampuni ya mbolea ya ruzuku, Bens Agro Star wenye thamani ya Sh150 milioni…