SIMBA YAFANYA MAGEUZI NDANI YA WIKI TATU,…. ROBERTINHO ATAMBA
Dar es Salaam. Simba imemtambulisha Che Fondoh Malone ikiwa ni hatua za mwisho kumalizia utambulisho wa wachezaji iliowasajili, huku ikiondoka leo kwenda Uturuki itakapoweka kambi…
Dar es Salaam. Simba imemtambulisha Che Fondoh Malone ikiwa ni hatua za mwisho kumalizia utambulisho wa wachezaji iliowasajili, huku ikiondoka leo kwenda Uturuki itakapoweka kambi…
SIMBA jana iliendelea kuwapa raha mashabiki wake kwa kutambulisha chuma kingine kipya, huku kocha mkuu wa timu hiyo aliyerejea juzi mchana akisema kwa majembe yaliyosajiliwa…
Wakati kocha wa Simba, Roberto Oliveira ‘Robertinho’ akifurahia ujio wa mshambuliaji Leandre Onana kutoka Rayon Sports, nyota huyo anakutana na wakati mgumu katika kuingia kikosini…
WAKATI Kocha Mkuu wa Simba, Robertinho Oliveira, akiwasili nchini alifajiri ya jana pamoja na kipa mpya, Mbrazili Caique Luiz Santos da Purificacao, klabu hiyo imesema…