SIMBA vs ASEC MIMOSAS…,MBIVU NA MBICHI HIZI HAPA….,MASTAA HAWA KUKOSEKANIKA…..
SIMBA leo inashuka dimbani kumenyana na Asec Mimosas ya Ivory Coast katika mchezo wa kwanza wa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Mchezo…
SIMBA leo inashuka dimbani kumenyana na Asec Mimosas ya Ivory Coast katika mchezo wa kwanza wa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Mchezo…
Ikiwa imepita miezi kadhaa Wanayanga wakiwa na kumbukumbu mbaya baada ya kupoteza Kombe la Shirikisho Afrika mbele ya USM Alger iliyokuwa chini ya Kocha Abdelhak…
ASEC Mimosas ya Ivory Coast, tayari ipo nchini kuwahi pambano la kwanza la Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi dhidi ya Simba, lakini kabla…
YANGA wako Algeria na kesho watapambana na CR Belouizdad ya huko kwenye mechi ya kwanza ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika lakini huku nyuma…
Mchambuzi wa masuala ya soka nchini kupitia Clouds FM na shabiki wa Klabu ya Simba, Farhan Kihamu amehoji uwepo wa (utambulisho wa biashara) logo mbili…
Kuelekea kwenye mchezo wa kimataifa wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya ASEC Mimosas nyota wa Simba wamepewa zigo zito kuhakikisha wanapata matokeo chanya kwenye…
SIMBA inaangalia uwezekano wa kumpa mkataba wa kudumu mshambuliaji wake, Jean Baleke, kwa ajili ya kukiimarisha kikosi chao. Baleke hivi sasa yupo kwa mkopo Simba,…
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa utawaonyesha nguvu ya mashabiki wapinzani wao ASEC Mimosas kwa vitendo kwa kujitokeza kwa wingi kwenye mchezo huo. Novemba 25…
WAKATI tetesi zikieleza kuwa jina la Adel Zraine aliyewahi kuwa kocha wa viungo wa Simba lipo mezani, bosi ndani ya timu hiyo kafunguka kuhusu kurejea…
Uongozi wa Klabu ya Simba, umeruhusu Daktari wa timu ya wanawake (Simba Queens), Lanina Munisi kwenda kutoa huduma ya kitabibu kwenye timu ya mpira wa…