SIMBA WAWATUMIA BARUA HII YANGA…MECHI NA RAJA CA YAWASHTUA
Hii ni kusema kuwa Simba wameamua kuwatumia salamu za wazi watani zao Yanga na wapinzani wao wengine kwa kimataifa, wakidai mchezo wao na Raja Casablanca…
Hii ni kusema kuwa Simba wameamua kuwatumia salamu za wazi watani zao Yanga na wapinzani wao wengine kwa kimataifa, wakidai mchezo wao na Raja Casablanca…
Wahenga walisema Kisiki cha Mpingo ni kigumu kuking’oa pengine kuliko aina yoyote ya mti. Tunaweza kusema Simba Sc wamekutana na ‘Kisiki cha Mpingo’ hatua ya…
BAADA ya kukaa nje ya uwanja wa muda, kiungo mshambuliaji wa Simba, Augustine Okrah ambaye aliifunga Yanga kwenye sare ya bao 1-1 mzunguko wa kwanza…
Klabu ya Simba imerudishwa tena nchini Morocco ambapo katika hatua ya robo fainali ya Kombe la Mabingwa Afrika imepangwa kucheza na mabingwa watetezi wa kombe…
BAADA ya misimu miwili wazawa kuwapiku wageni kunyakua tuzo ya mfungaji bora wa Ligi Kuu Bara, awamu hii ni kama nyota njema inachomoza kwa mapro.…
STRAIKA wa Simba, Jean Baleke anaitazama Ligi ya Mabingwa Afrika, namna inavyoweza kuongeza maarifa zaidi kwa wachezaji wenye mitazamo ya kufika mbali kwenye karia yao.…
MBRAZIL wa Simba, Roberto Oliveira ‘Robertinho’ wala hana presha na timu ambayo anaweza kupangwa nayo kwenye hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika…
Oktoba 27, 2023 itabaki kwenye kumbukumbu za mastaa Simba kwa kuwa ulikuwa ni mchezo wao kwa kwanza kutunguliwa ndani ya msimu wa 2022/23 kwenye ligi.…
Mshambuliaji wa Simba, Jean Baleke raia wa DR Congo, ameacha rekodi matata katika ardhi ya Morocco baada ya Jumamosi iliyopita kufunga bao moja wakati timu…
KIUNGO wa Ihefu, Papy Kabamba Tshishimbi huenda asirejee tena uwanjani katika michezo yote iliyosalia msimu huu baada ya kutakiwa kupumzika kufuatia kufanyiwa upasuaji mkubwa wa…