Latest Posts

Habari za simba-Kagoma

KUHUSU INSHU YA KAGOMA YANGA ILIKOSEA HAPA

Hakuna Ubishi kwamba Yusuph Kagoma alikua na mkataba na timu yake ya Singida Fountain Gate. Hivyo ilibidi ufanyike uhamisho kwa kumnunua kwenda timu nyingine yeyote.…

HABARI ZA SIMBA

FEI TOTO AMTISHA KIPA WA SIMBA

Kipa wa Simba, Moussa Camara ‘Spider’ alikuwa katika benchi wakati taifa lake la Guinea likiachia pointi tatu mbele ya Taifa Stars, lakini akaondoka na lile…

HABARI ZA SIMBA

KUMBE JEURI YA SIMBA IKO HAPA

Wachezaji wa Simba wanafahamu hesabu zilizopo kwao hivi sasa ni kuanza vizuri ugenini dhidi ya Al Ahli Tripoli ya Libya kisha kumaliza kazi nyumbani na…

HABARI ZA SIMBA NA YANGA

FADLU NA GAMONDI MBINU ZAO ZIKO HIVI

Makocha wa Yanga na Simba, Miguel Gamondi na Fadlu Davids, pamoja na mabenchi yao ya ufundi, wanajipanga kwa umakini mkubwa kuhakikisha wanatimiza matarajio ya mashabiki…

habari za yanga

PRIVADINHO AJIFUNGA MABOMU SAKATA LA KAGOMA YANGA

“Nimemsikiliza vyema mwanasheria wa Fountain Gate. Kimsingi nimependa sana jamaa amechagua kuwa mwaminifu.” “Kimsingi amethibitisha kuwa mkataba baina ya Yanga na Fountain Gate upo tofauti…