SIMU ZIMEANZA KUITA KWA JUMA MGUNDA…AWEKA REKODI
Kwa sasa simu zinaita tu kwa kocha, Juma Mgunda, ambaye alihudumu katika klabu ya Simba kwa miaka miwili sawa na siku 732, kuanzia Septemba 7,…
Kwa sasa simu zinaita tu kwa kocha, Juma Mgunda, ambaye alihudumu katika klabu ya Simba kwa miaka miwili sawa na siku 732, kuanzia Septemba 7,…
Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amekabidhi shilingi milioni 10 kwa wachezaji wa Simba Queens ikiwa ni zawadi kwa kuiwakilisha Tanzania kwenye michuano ya…
MKURUGENZI wa Sheria wa Yanga, Simon Patrick amethibitisha kuwa timu yao ilikamilisha mchakato wa kumsajili Yusuph Kagoma mwezi Machi 2024 kutoka klabu ya Fountain Gate.…
2003 wakati Zamalek wanakuja Tanzania kucheza na Simba SC kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika. Mshambuliaji aliyekuwa kwenye midomo ya watu wakati huo alikuwa…
Utamu wa Ligi Kuu Bara unaendelea tena leo kwa michezo miwili, huku macho ya mashabiki yakiwa kwenye Uwanja wa Liti, mjini Singida wakati wenyeji Singida…
Kama uliona bado mapema kwa Simba kutafuta mchezaji wa kumsajili dirisha dogo msimu huu, basi umekosea, kwani Wekundu hao wamegonga hodi tena kwa Winga Mkongoman…
AL AHLI TRIPOLI Kwa Lugha ya Malkia Elizabeth wanafahamika kama National Sport Club kutoka jiji la Tripoli katika nchi ya Libya kwa Gadaffi, kwa wasifu…
KIKOSI cha Yanga kwa kundi la pili limepaa leo kuifuata CBE SA ya Ethiopia kwa ajili ya mchezo wa mkondo wa kwanza wa raundi ya…
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally, amesema mechi ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Al Ahli Tripoli ya Libya, itakayochezwa ugenini…
KUHUSU ubora wa mshambuliaji wa Yanga na timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Clement Mzize umekuwa na dosari kwa upande wa mchambuzi wa michezo…