Latest Posts

HABARI ZA USAJILI

MSUVA AFUNGUKA HATMA YAKE TAIFA STARS

Mshambuliaji wa Kimataifa wa Tanzania, Simon Msuva, 30, ameeleza mikakati yake wakati akitua Jamhuri ya Iraq huko Asia Magharibi kwa ajili ya kujiunga timu yake…

HABARI ZA SIMBA-ABDI BANDA

SABABU ZILIZOMRUDISHA BANDA BAROKA

WIKIENDI hii beki wa zamani wa Richard Bays, Abdi Banda alitambulishwa Baroka ya Afrika Kusini alikoondoka miaka sita iliyopita. Banda kwa mara ya kwanza alijiunga…

habari za SIMBA NA YANGA

SIMBA NA YANGA NGOMA DROO KIMATAIFA

Katika kuhakikisha nyota wake wanaozitumikia timu za taifa wanaziwahi mechi zao za ugenini za mashindano ya klabu Afrika wiki ijayo, Yanga na Simba zimepanga utaratibu…

HABARI ZA SIMBA

SIMBA HAWATAKI KURUDIA MAKOSA HAYA MSIMU HUU.

WAKATI Mnyama akitarajia kushuka dimbani leo kucheza mechi ya kirafiki dhidi ya JKT Tanzania, Uongozi wa klabu hiyo umesema hawatarudia makosa yaliyojitokeza misimu mitatu iliyopita.…

habari za simba- Kagoma

SAKATA LA KAGOMA NA YANGA UKWELI NI HUU.

KLABU YA YANGA na Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu bara, wamewasilisha nyaraka mbili muhimu kwenye shauri linaloendelea la kimkataba kati yao na Mchezaji Yusuph Kagoma…

HABARI ZA SIMBA-fREDDY

FREDDY ATEMWA USM ALGER…ARUDI YANGA

Aliyekuwa mshambuliaji wa Simba, Freddy Michael ameshindwa kujiunga na USM Alger ya Algeria kwa kigezo cha kutowahi kuichezea timu ya taifa, lakini mwenyewe amezima uvumi…