KIKOSI CHA SIMBA KINAZIDI KUIMARIKA, MWINGINE HUYU HAPA KATUA MSIMBAZI
KLABU ya Simba imemtambulisha mlinda mlango Jefferson Luis Szerban de Oliveira Junior kutoka Resende ya kwao, Brazil kuwa mchezaji wake mpya kuelekea msimu ujao. Jefferson…
KLABU ya Simba imemtambulisha mlinda mlango Jefferson Luis Szerban de Oliveira Junior kutoka Resende ya kwao, Brazil kuwa mchezaji wake mpya kuelekea msimu ujao. Jefferson…
MASHABIKI wa Simba mzuka umepanda. Unajua kwa nini? Wamepata taarifa kwamba katika kambi ya timu hiyo iliyopo Uturuki, ametua kipa kutoka Brazili, Jefferson Luis Szerban…
WAKATI Clatous Chama na Fabrice Ngoma wakiinogesha kambi ya mazoezi ya Simba iliyopo Uturuki baada ya mastaa hao kutimba juzi wakitokea Dar es Salaam, nyota…
Kiungo Mkabaji mpya wa Simba SC, Abdallah Hamis ameshukuru mapokezi makubwa aliyoyapata ndani ya timu hiyo, huku akiahdi kubeba mataji yote watakayoshindania katika msimu ujao.…
WAKATI kundi la mwisho la wachezaji wa Simba likijianda kupaa jana kwenda kambini Ankara, Uturuki, winga anayerejeshwa Msimbazi kutoka Al Ahly ya Misri, Luis Miquissone…
RASMI Luis Miquissone ametambulishwa ndani ya kikosi cha Simba ambacho kimeweka kambi Uturuki kwa ajili ya msimu mpya wa 2023/24. Nyota huyo ni chaguo la…
KLABU za Simba na Yanga hivi karibuni zimeingia makubaliano maalumu na Benki ya NMB kwa ajili ya kusajili wanachama na mashabiki wa klabu hizo zenye…
Wakati Simba SC ikizindua jezi jana Ijumaa (Julai 21) usiku, Mlinda Lango Simon Omossola raia wa Cameron ametua Msimbazi kwa mkataba wa miaka miwili kwa…
KIKOSI cha Simba kinaendelea kujifua kwa mazoezi kujiandaa na msimu mpya ikiwa jijini Ankara, Uturuki ikiwa inajiandaa kupokea mastaa wengine akiwamo Luis Miquissone na Clatous…
WAKATI kundi la mwisho la wachezaji wa Simba likijianda kupaa jana kwenda kambini Ankara, Uturuki, winga anayerejeshwa Msimbazi kutoka Al Ahly ya Misri, Luis Miquissone…