YANGA YAIFANYIA UMAFIA SIMBA KWENYE USAJILI
KAMA Kocha Miguel Gamondi ataridhia wiki hii mazoezini kwamba Djuma Shabaan apigwe chini, viongozi watashusha chuma kingine fasta ambacho inadaiwa hata Simba walikitamani. Mwanaspoti limejiridhisha…
KAMA Kocha Miguel Gamondi ataridhia wiki hii mazoezini kwamba Djuma Shabaan apigwe chini, viongozi watashusha chuma kingine fasta ambacho inadaiwa hata Simba walikitamani. Mwanaspoti limejiridhisha…
KUNA wachezaji waliochwa Simba na Yanga kutokana na kile walichopanda msimu uliopita, lakini mavuno yao yanaweza kuwa kiduchu au kuvunja benki kulingana na thamani zao.…
Dar es Salaam. Siku chache baada ya kukamilisha usajili wa Joash Onyango kutoka Simba, Singida Fountain Gate iko mbioni kuinasa saini ya kiungo wa Rivers…
Wakati msafara wa Simba ukiondoka juzi kuelekea Uturuki ambako utaweka kambi ya siku 20 kujiandaa na msimu mpya, hatima ya kocha msaidizi Juma Mgunda iko…
BADO vurugu za usajili zinaendelea katika dirisha hili kubwa la usajili, kwa timu shiriki za Ligi Kuu Bara kila moja ikiboresha kikosi chake ili kifanye…
SIMBA imekwea jana kwenda Uturuki kuweka kambi ya mazoezi ya siku kadhaa. Watakuwa kwenye ardhi ya nchi moja na Hull City ya England. Lakini yenyewe…
Hatima ya kocha msaidizi wa klabu ya Simba SC, Juma Mgunda, inaning’inia, ndani ya timu hiyo. Mgunda, aliyejiunga na klabu hiyo Septemba 7 mwaka jana,…
Kocha Mkuu wa Singida Fountain Gate, Hans Pluijm amesema ameanza kukisuka kikosi chake kuelekea mechi yao ya Ngao ya Jamii dhidi ya Simba SC utakaopigwa…
SHIRIKISHO la Soka Barani Afrika(CAF) limebadilisha jina la mashindano yake mapya, lakini Rais wake,Patrice Motsepe amesisitiza kwamba yatakuwa na neema kubwa ya mkwanja Simba ikiwa…
Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans wameshamalizana kimazungumzo na Kiungo Mzawa, Jonas Mkude lakini imeliacha faili lake kwa Kocha Miguel Gamondi afanye uamuzi wa…