JAMANI KUMBE GUARDIOLA NI MTU KAMA WATU WENGINE
Hakuna ubishi kwamba Pep Guardiola ni moja ya makocha bora kabisa kwenye historia ya mchezo wa mpira wa miguu, lakini si mara zote amekuwa akifahamu…
Hakuna ubishi kwamba Pep Guardiola ni moja ya makocha bora kabisa kwenye historia ya mchezo wa mpira wa miguu, lakini si mara zote amekuwa akifahamu…
Klabu ya Singida Fountain Gate inatajwa kuwa ipo kwenye mazungumzo ya kina na aliyekuwa kiungo wa TP Mazembe ya DR Congo, Miche Mika anayekipiga katika…
Klabu ya Yanga imesema Kocha wao Mkuu, Miguel Gamondi, atakuwa na kibarua kigumu zaidi mwezi huu, katika kuhakikisha timu hiyo inavuna pointi za kutosha kwenye…
Matokeo ya suluhu iliyoipata Al Ahly nyumbani Cairo dhidi ya CR Belouizdad yameifanya Yanga kuwa na matumaini ya kufuzu robo fainali ya Ligi ya Mabingwa…
Mara kwa mara jengo la Klabu ya Yanga limekuwa katika hatihati ya kutaka kupigwa mnada na Benki ya Nyumba (THB). Ni miaka ya hivi karibuni…
Mabosi wa Simba wanaendelea kukuna kichwa juu ya kumalizana na kocha Abdelhak Benchikha ambaye ndiye pekee aliyepenya kwenye mchujo uliofanyika, ili wamlete kuchukua nafasi ya…
Yanga ipo kambini ikiendelea kunoa makali kwa ajili ya mechi za kimataifa dhidi ya CR Belouizdad ya Algeria na Al Ahly ya Misri, lakini benchi…