KAZI IMEANZA GAMONDI AWAHENYESHA MASTAA YANGA, HUYU NAMBA 6 MBONA ATAWALIZA WENGI
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
Baada ya kumtambulisha Kiungo Mshambuliaji kutoka nchini Cameroon Leandre Willy Essomba Onana leo Jumatano (Julai 05) kupitia vyanzo vya habari vya Klabu ya Simba, Meneja…