SIMBA WASHINDWE WENYEWE MWAMBA KAVUNJA MKATABA HUKO
Kiungo wa klabu ya Union Touarga ya Morocco, Eric Mbangossoum mwenye umri wa miaka 23, amevunja mkataba na klabu hiyo hivyo ni dodo kwa Simba…
Kiungo wa klabu ya Union Touarga ya Morocco, Eric Mbangossoum mwenye umri wa miaka 23, amevunja mkataba na klabu hiyo hivyo ni dodo kwa Simba…
Achana na tripu ya Malawi ambayo wanaenda Wachezaji mseto, Yanga inachanga karata zake wa mwisho kukamilisha usajili wake kabla ya kuingia rasmi kambini wiki ijayo.…
Habari njema kwa mashabiki na wapenzi wa klabu ya SIMBA ni kunaswa kwa saini ya winga wa maana anayejua kazi na mbio mithiri zenye hatari…
Licha ya kufanya siri kubwa, habari za chini ya kapeti ni kuwa vigogo wa Yanga juzi usiku walikuwa na kikao kizito na Fiston Mayele nyumbani…