DILI LA ONYANGO LIPO HIVI KUMBE HAKWENDA SINGIDA FOUNTAIN GATE KWA MKOPO ISHU NZIMA IKO HIVI….
SIMBA juzi imemtangaza rasmi Che Fondoh Malone kuwa Mnyama ili kuchukua nafasi ya Mkenya Joash Onyango, huku awali ikielezwa kwamba ametolewa kwa mkopo kwa Singida…