Latest Posts

Habari za Simba- Mpanzu

KWA MPANZU SIMBA HALAUMIWI.

KLABU YA SIMBA ilipambana sana kuisaka saini ya winga machachari wa AS Vita, Elie Mpanzu lakini kuna wakati jitihada huwa hazizai matunda na ndicho kimetokea…

Habari za simba na Yanga

SIMBA YAIGALAGAZA YANGA KWA KIUNGO HUYU

BAADA ya watani wa jadi kugombania saini ya kiungo wa JKT Queens, Amina Bilal hatimaye Simba Queens imefanikiwa kuizidi akili Yanga Princess na kumnasa mchezaji…