EDO KUMWEMBE AWATOLEA UVIVU SIMBA SC KUHUSU KUWEKA KAMBI UTURUKI…. ISHU IKO HIVI
Mchambuzi nguli wa masuala ya Soka nchini, Edo Kumwembe amedai kuwa kikosi cha Klabu ya Simba kilikwenda nchini Uturuki kuzurura tu badala ya kujiandaa na…
Mchambuzi nguli wa masuala ya Soka nchini, Edo Kumwembe amedai kuwa kikosi cha Klabu ya Simba kilikwenda nchini Uturuki kuzurura tu badala ya kujiandaa na…
WAKATI Simba wakiwa nchini Uturuki kwenye maandalizi ya msimu ujao wa 2023/24, taarifa njema ni kuhusiana na kiungo wao mpya, Fabrice Ngoma ambaye unaambiwa anawapa…
TIMU ya Simba SC imeibuka na ushindi wa 4-1 dhidi ya timu ya Batman Petrolspor katika mchezo wa kirafiki kwenye kambi yake ya kujiandaa na…
KIKOSI cha Simba kipo siku za mwisho mwisho za kambi ya maandalizi ya msimu mpya iliyopo Uturuki na Jumatatu ijayo inatarajiwa kurejea nchini, huku wachezaji,…
Baada ya kuripoti juu ya kutoweka kambini kwa Kocha Mkuu wa Simba, Roberto Oliveira ‘Robertinho’, kocha huyo amevunja ukimya na kufafanua juu ya ukweli wa…
KAMBI ya Simba iliyopo hoteli ya Latapya, jijini Ankara Uturuki inazidi kunoga kwa wachezaji kuanza kuchangamshwa kwa mazoezi ya aina mbalimbali ikiwamo ya kuogelea ili…
BAADA ya Simba SC kutua Uturuki kwa maandalizi ya msimu wa 2023/24, timu hiyo imeanza matizi chini ya Kocha Mkuu, Roberto Oliveira ‘Robertinho’. Ikumbukwe kwamba,…
Simba tayari imeanza kutambulisha nyota wapya wa kikosi kipya cha msimu ujao ikiwa imepania kufanya vizuri zaidi na sasa imeita vifaa vyote vya zamani na…
Kikosi cha Simba SC kinatarajiwa kucheza michezo mitatu ya kirafiki ya Kimataifa ya kujipima nguvu nchini Uturuki, kujiandaa na msimu ujao wa Ligi Kuu Tanzania…