MAXI AWAPA WACHEZAJI WA YANGA KAULI HII YA KISHUJAA KUHUSU KIPIGO CHA SIMBA
Kiungo Mshambuliaji wa mabingwa watetezi Ligi Kuu Tanzania Bara, Young Africans, Maxi Nzengeli, amewataka wachezaji wenzake katika timu hiyo kusahau ushindi mnono wa mabao 5-1…