Simba Queens 3-0 Yanga Princess: Mbinu na Sababu Zilizopelekea Yanga Kufungwa Ngao ya Jamii
Mambo yanazidi kuwa magumu kwa Wananchi baada ya Yanga Princess kupoteza tena fursa ya kutwaa taji ililokuwa inalisaka kwa mara ya kwanza tangu ilipoanza kushiriki…