YANGA SASA NI CHUMA BAADA YA CHUMA, WAMTAMBULISHA MCHEZAJI WAO MPYA SIO POA
Baada ya kumtambulisha Winga Nickson Kibabage, Mlinzi Gift Fred kutoka Uganda, Kiungo Jonas Gerald Mkude alieachana na watani zao Simba SC. Klabu ya Yanga imeendelea…
Baada ya kumtambulisha Winga Nickson Kibabage, Mlinzi Gift Fred kutoka Uganda, Kiungo Jonas Gerald Mkude alieachana na watani zao Simba SC. Klabu ya Yanga imeendelea…
Yanga imesema zoezi la kutambulisha mastaa wao wapya kuelekea msimu ujao litaendelea Leo watakapomtambulisha nyota wao mwingine mpya. Afisa Habari wa Yanga, Ally Kamwe amesema…
UJIO wa beki mpya wa Yanga, Gift Fred aliyesaini mkataba wa miaka mitatu Jangwani ni wazi utakuwa mtego mpya kwa mabeki wa kati kwenye kikosi…
KUNA wachezaji waliochwa Simba na Yanga kutokana na kile walichopanda msimu uliopita, lakini mavuno yao yanaweza kuwa kiduchu au kuvunja benki kulingana na thamani zao.…
Uongozi wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans umeendelea kukomaa na usajili wa mchezaji atakayevaa jezi namba sita ‘06’, ambayo ilikuwa ikitumiwa na Feisal…
MSHAMBULIAJI wa Yanga, Mkongomani, Fiston Mayele amefikia sehemu nzuri ya mazungumzo yake na Yanga kuhusiana na mkataba wake mpya. Awali ilielezwa kuwa, Mayele ambaye amebakiza…
Nahodha wa AS Maniema Union ya DR Congo, Maxi Mpia amewasili nchini wa leo Julai 12, 2023 kukamilisha dili la kujiunga na mabingwa watetezi wa…
Dar es Salaam. Kocha wa Yanga, Migel Gamondi amesema mafanikio makubwa iliyopata Yanga msimu uliopita ndiyo sababu kubwa iliyomvuta Jangwani, kwani yeye ni muumini wa…
Kocha Mkuu mpya wa Young Africans Miguel Gamondi, leo Jumatano (Julai 12) anakutana na wachezaji wake kwa mara ya kwanza, kuanza mazoezi ya ‘Gym’ kuweka…
Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans wameshamalizana kimazungumzo na Kiungo Mzawa, Jonas Mkude lakini imeliacha faili lake kwa Kocha Miguel Gamondi afanye uamuzi wa…