KAZE AWACHANA MASTAA YANGA…”HAMNA LOLOTE, HAMJAFANYA CHOCHOTE…ISHU NZIMA IKO HIVI
Kocha Msaidizi wa Yanga, Cedric Kaze amesema hajaridhishwa na kiwango kilichoonyeshwa na timu yake licha ya kupata ushindi na kufanikiwa kutinga hatua ya nusu fainali…
Kocha Msaidizi wa Yanga, Cedric Kaze amesema hajaridhishwa na kiwango kilichoonyeshwa na timu yake licha ya kupata ushindi na kufanikiwa kutinga hatua ya nusu fainali…
CLATOUS Chama wa Simba pamoja na baadhi ya mastaa wa Yanga wameichungulia droo ya mechi za robo fainali za michuano ya CAF inayozikutanisha timu hizo…
Dar es Salaam. Kupona kwa nyota majeruhi kunazidi kupunguza presha ya makocha wa Simba na Yanga katika maandalizi ya timu zao kwa ajili ya mechi…
WAUMINI wa madhehebu ya Kikristo wakisheherekea sikukuu ya Pasaka leo, Kocha wa Yanga, Nasreddine Nabi atakuwa kwenye ardhi ya Dar es Salaam akiwa na faili…
Klabu ya TP Mazembe imemteua aliyekuwa kocha wa Timu ya Taifa Senegal, Lamine Ndiaye kuwa kocha mkuu klabuni hapo kuchukua nafasi ya mzawa Mihayo Kazembe…
Dar es Salaam. Bao pekee la mshambuliaji Fiston Mayele limetosha kuipeleka Yanga katika hatua ya nusu fainali ya kombe la Shirikisho Azam baada ya kuivaa…
YANGA inavaana na Geita Gold kwenye pambano la robo fainali ya Kombe la Shirikisho nchini (ASFC) litakalopigwa leo, huku kukiwa na hatihati ya kumtumia straika…
Mmiliki wa Singida Big Stars, amesitisha mipango ya kumuachia kiungo mshambuliaji wa timu hiyo, Mbrazili, Bruno Gomes kujiunga na Yanga baada ya kuwa na uhakika…
Mtendaji Mkuu wa zamani wa Yanga, Senzo Mbatha Mazingiza, amesema anaiona Yanga ikitinga nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika msimu huu kutokana na ubora…
Mshambuliaji wa Yanga, Fiston Mayele amewasikia wapinzani wao watakaokutana nao katika hatua ya Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika, Rivers United na kutamka haohao…