Uncategorized

TPL: YANGA 0-0 AZAM FC

admin May 28, 2019 1:19 pm

MCHEZO wa sasa unaoendelea uwanja wa Taifa kati ya Yanga na Azam FC ni kipindi cha kwanza na hakuna ambaye ameliona lango la mpinzani wake.

Mchezo huu una ushindani mkubwa kwa timu zote mbili ambazo zinatafuta heshima kwenye uwanja wa Taifa leo ikiwa ni mchezo wa mwisho kwa msimu huu.

KIKOSI CHA AZAM FC KITAKACHOANZA DHIDI YA YANGA NABY KEITA WA LIVERPOOL KUIKOSA FAINALI YA LIGI YA MABINGWA ULAYA DHIDI YA SPURS

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply