Uncategorized

KICHUYA, FEI TOTO WATOA TAMKO ZITO JUU YA USIMBA NA UYANGA – VIDEO

admin June 1, 2019 10:14 pm


Mshambuliaji na Kiungo wa Team Kiba Shiza Kichuya na Feisal Salum wamefunguka kuwa kwa kikosi chao kilivyo lazima wawafunge timu Samatta kutokana na ni timu nzuri na ina wachezaji wazuri na vijana.

Kampeni ya Nifuate ni msimu wake wa pili kwa sasa ambapo maboresho yatakua makubwa hivyo Samatta na Ali kiba wamewataka mashabiki kujaa kwa wingi uwanjani.

UTATU MTAKATIFU SIMBA WAKOMBA MILIONI 300 HII SASA NI BALAA, YANGA YASAINI TISA WAPYA, SIMBA MNATOKAJE- VIDEO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply