Uncategorized

KOCHA WA KINDOKI AMPA ONYO AISHI MANULA KISA TAIFA STARS ‘AWE MAKINI’

admin June 8, 2019 9:21 pm


Kipa wa zamani wa Yanga, Juma Pondamali, amemshauri kipa wa Taifa Stars, Aishi Manula kuongeza jitihada langoni.

Pondamali amezungumza hayo ikiwa ni siku mbili zimepita tangu kusafiri kwa Stars kuelekea Misri kwa ajili ya michuano ya AFCON.

Ameeleza kwa kusema “Manula anapaswa awe makini zaidi langoni.

“Siku za hivi karibuni amekuwa akifungwa mabao ambayo huwezi tarajia, vema akaongeja jitihada.

“Pia namtakia kheri pamoja na Stars nzima kwenye mashindano hayo ambayo hatujashiriki kwa muda mrefu.”

MASHABIKI YANGA MBEYA WAONESHA JEURI KUBWA YA PESA – VIDEO MAJEMBE KUMI MAPYA YALIYOTAJWA KUTUA SIMBA HAYA HAPA, NI MAJIBU YA MAPIGO KWA YANGA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply