MCHEZO wa Playoff kati ya Kagera Sugar na Pamba uwanja wa Kaitaba umekumbwa na sintofahamu baada ya kupita dakika 17 bila kuanza.
Mechi hiyo ambayo ni marudio ilipaswa ianze muda wa saa 10:00 kwani muda ulipofika timu zote zilitia timu uwanjani ila mpira bado haukuanza.
Licha ya waamuzi kukagua wachezaji bado kuna taratibu za kiufundi ambazo zilikuwa zinakamilishwa.
Baada ya taratibu kukamilika ndipo mchezo ulianza ikiwa zimepita dakika 22.
Mchezo wa leo ndio utatoa maamuzi ya timu itakayopanda ndani ya Ligi Kuu Bara msimu ujao ama kubaki kwa Kagera Sugar leo.
Sign in
Welcome! Log into your account
Forgot your password? Get help
Password recovery
Recover your password
A password will be e-mailed to you.