Home Uncategorized PLAYOFF LIVE: KAGERA SUGAR 0-0 PAMBA

PLAYOFF LIVE: KAGERA SUGAR 0-0 PAMBA


Kagera Sugar 0-0 Pamba
Uwanja wa Kaitaba
Kipindi cha kwanza

MCHEZO kwa sasa kati ya Kagera Sugar na Pamba FC zote za kanda ya ziwa umeanza ikiwa ni kipindi cha kwanza uwanja wa Kaitaba.

Ushindani ni mkubwa na mashabiki wengi wamejitokeza kuona mchezo huu amabao utaamua hatma ya timu hizi mbili kubaki ndani ya TPL kwa Kagera Sugar ama kupanda kwa Pamba FC.

Mpira ulisimama kwa muda wa dakika  kutokana na mlinda mlango wa Pamba FC Kupata majeraha hivyo baada ya kupewa huduma ya kwanza amerejea langoni.

SOMA NA HII  KWAPUA VIBUNDA NA MECHI ZA LIGI YA MABINGWA LEO