Michezo
ZAHERA HUYU HAPA AMETUA NAMUNGO
Staff Desk
December 30, 2023
2:32 pm
Klabu ya Namungo imemtambulisha Mwinyi Zahera kuwa kocha mkuu wa timu hiyo.
Namungo kutokea mkoani Lindi ilikuwa inanolewa na kocha Denis Kitambi ambaye ametimkia Geita Gold FC.
Namungo ipo nafasi ya 8 kwenye msimamo wa Ligi Kuu tayari imecheza mechi 14 ikishinda mechi 4, kufungwa 5 na droo 5 na ina pointi 17.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.