Latest Posts

ZAHERA HUYU HAPA AMETUA NAMUNGO

Klabu ya Namungo imemtambulisha Mwinyi Zahera kuwa kocha mkuu wa timu hiyo. Namungo kutokea mkoani Lindi ilikuwa inanolewa na kocha Denis Kitambi ambaye ametimkia Geita…

ISHU YA NAMUNGO NA KOCHA MPYA IMEKAA HIVI

Uongozi Namungo FC umeeleza kuwa kwa sasa hawana mpango wa kutafuta kocha mpya, wakimpa nafasi zaidi aliyekuwa kocha msaidizi wa timu hiyo, Denis Kitambi. Kauli…