Habari za Yanga
Habari za michezo

KIKOSI CHA YANGA DHIDI YA NAMUNGO FC HIKI HAPA

Staff Desk September 20, 2023 6:58 pm

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga wanashuka Dimbani muda mchache kutoka sasa kuwakabili wauaji wa Kusini, Timu ya Namungo FC.

Yanga wanaingia katika mchezo huo wakiwa na matokeo mazuri zaidi baada ya kushinda michezo yao miwili ya Ligi waliyocheza kwa ushindi mnono wa mabao 5-0 dhidi ya KMC na JKT Tanzania.

Yanga inahitaji alama tatu kuhakikisha inarudi kileleni mwa msimamo wa Ligi baada ya kushushwa na Mashujaa FC siku chache zilizopita.

Namungo waliopo chini ya Kaze wanahitaji ushindi baada ya kupoteza mchezo dhidi ya JKT Tanzania kisha wakasuluhu na KMC.

Hiki hapa kikosi cha Yanga kinachoanza mchezo wa leo;

Kikosi

DUCHU, SASA NI ZAMU YAKE NA ISRAEL HUYU ZIMBWE, KAPOMBE WAPUMZISHWE SASA……… ISHU IKO HIVI ISHU YA SIMBA KUACHANA NA ROBERTINHO, UONGOZI WAFUNGUKA HAYA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply