Habari za michezo

KAMA UTANI VILE KOCHA NAMUNGO ABWAGA MANYANGA

Staff Desk December 12, 2023 6:34 pm

Aliyekuwa kocha wa klabu ya Namungo FC ya Lindi, Denis Kitambi ameachana na klabu hiyo.

Jana (Jumatatu) baada ya mazoezi alipata muda wa kuwaaga wachezaji na Viongozi wa klab hiyo na kuwatakia kheri katika michezo yao ijayo.

Kitambi alichukua majukumu ya kuinoa Namungo FC baada ya kuondoka kwa Kocha Cedrick Kaze.

KAMA SEZONI LA KIKOREA … SASA VITA IMEHAMIA LIGI KUU, HAPA SIMBA PALE YANGA GAMONDI ATAMBA KWA NAMNA HII….. AWACHUNGULIA MTIBWA KISHA AWATUMIA SALAM HIZI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply